Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akizungumza na Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ramadhani Mungi wakati wa Sherehe ya Kufunga Mafunzo ya awali ya Askari Polisi, Kozi namba 1, 2024/2025 Novemba 21, 2025. Kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Awadhi Haji na Kamishina wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas.


Post a Comment