#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

"Nilimwona Raila kuzimu…" Nabii wa Kisumu asema


Pasto Samo, meleta taharuki mkubwa mtandaoni baada ya kutoa madai ya kusisimua kuhusu Raila Odinga, kiongozi wa upinzani aliyeaga dunia hivi karibuni.

Katika video iliyovuma, Samo anadai kuwa Raila "alipelekwa moja kwa moja kuzimu" baada ya kifo chake, akidai kwamba mwanasiasa huyo aliingia katika chama ya Freemasons mwaka wa 1996.

"Raila alipokufa, alichukuliwa moja kwa moja kuzimu. Sababu ni kwamba mwaka wa 1996 aliingizwa katika Freemasons. Kwa hivyo alienda moja kwa moja," Pasto Samo amesema.






Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv