#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Trump asema 'kitu kizuri huenda kinatokea' katika mazungumzo ya Ukraine wakati viongozi wa EU wanajadili mpango



Rais wa Marekani Donald Trump anasema "kitu kizuri huenda kinatokea" kufuatia mazungumzo jana jijini Geneva kuhusu mpango wa kumaliza vita vya Urusi nchini Ukraine. Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana kwa mazungumzo zaidi leo baada ya wajumbe wa Marekani na Ukraine kurudi nyumbani. 

Serikali ya Urusu inasema pendekezo la Marekani la kumaliza vita vya Ukraine "kimsingi, linaweza kuwa msingi wa makubaliano ya mwisho ya amani." Rais Vladimir Putin wa Urusi alisema toleo la mpango huo ulioonekana na Urusi "linafanana na mazungumzo" yaliyofanyika kwenye mkutano wa Marekani-Urusi huko Alaska mapema mwaka huu.






 


Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv