#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Gerson Msigwa, amekabidhi Shilingi Milioni 50 kwa timu Twiga Stars


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa, amekabidhi Shilingi Milioni 50 kwa timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kama pongezi kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufuzu mara mbili mfululizo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026.

Makabidhiano hayo yamefanyika Desemba 3, 2025 jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Serikali kutambua juhudi na nidhamu ya wachezaji pamoja na benchi la ufundi katika safari yao ya kufuzu michuano hiyo mikubwa barani Afrika, inayotarajiwa kufanyika Morocco mwaka 2026.



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv