NI YEYE - SYLVIA MWANGUNGA feat. AMBWENE MWASONGWE (Official Music Video)
Usa River Media0
Moja ya nyimbo zinazonipa utafakari mkubwa wa matendo makuu ya Mungu ni huu wa Ni Yeye wa Sylvia Mwangunga kila wakati ninapousikiliza hunibariki sana. Mungu azidi kumbariki mtumishi huyu na amtumie katika kueneza injili duniani kote.
Post a Comment