#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Maadhimisho ya siku ya Usalama Mtandaoni (Safer Internet Day)

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Nicholous Merinyo Mkapa, aliyemwakilisha Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb.) katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Usalama Mtandaoni (Safer Internet Day) tarehe 10 Februari 2027, Ukumbi wa Auditorium - UDOM, Dodoma.




Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na kaulimbiu isemayo “Teknolojia Mahiri, Machaguo Salama: Tuwalinde Watoto katika Zama za Akili Unde,” ililenga kuhamasisha jamii kuchukua tahadhari dhidi ya hatari zinazoweza kujitokeza kutokana na matumizi yasiyo salama ya teknolojia za kisasa, hususan Akili Unde (AI).



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv