Kupitia ukurasa wake wa FB Dogo Janja Ameandika kuwa anahuzuri amkutano wa robo ya pili ya baraza la madiwani akiwa kama diwani wa Ngaranaro ikumbukwe kwamba Dogo Janja alipata nafasi ya kushinda na kupata uongozi wa unidwani kwa kata huko jijini Arusha.
MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI (ROBO YA PILI)
Sauti ya maamuzi. Nia ya maendeleo. 
Hatupo hapa kwa muonekano, Tupo kwa matokeo.
Kila mjadala ni dira, kila uamuzi ni hatua kuelekea kesho bora ya wananchi wetu.

Post a Comment