Tuzo hiyo imepokelewa na Mkurugenzi Mkuu wetu, Charles Kamoto, katika hafla rasmi ya uzinduzi wa miradi 758 ya mawasiliano na upanuzi wa huduma za kidijitali katika wilaya 85, iliyofanyika katika Jakaya Kikwete Convention Centre.
Kupitia uwekezaji wetu endelevu katika miundombinu ya kidijitali, tunaendelea kuwawezesha Watanzania: Kupata elimu ya kidijitali, Kukuza biashara na ujasiriamali na Kufikiwa na huduma jumuishi za kifedha

Post a Comment