Tunamtafuta JOAN ELIMBINGI KWEKA Mwenye umri wa Miaka 18, Mkazi wa Miyuji Mpamaa MUHITIMU WA KIDATO CHA NNE ( DODOMA SECONDARY 2025) ambaye aliondoka nyumbani tarehe 10/04/2026 majira ya saa 05:30alfajiri na kwenda kusikojulikana.
TUNAOMBA KWA YEYOTE ATAKAYEMUONA ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU NAYE. AU AWASILIANE NASI KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO: 0712853915 0712596718 Tafadhali saidia kusambaza taarifa hii ili kumsaidia kupatikana kwa haraka. Asanteni Kwa ushirikiano wenu.

Post a Comment