#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Mungai Eve asimulia jinsi alivyogundua kuwa alikuwa mchepuko.

 Bila shaka Mungai Eve anafanya mambo makubwa katika tasnia ya burudani, na akiwa na umri wa miaka 22 tu, msichana huyu amepata mafanikio makubwa kiasi kwamba anaweza kujiletea maisha bora yeye na mpenzi wake, director Trevor, maisha ambayo hawakuwahi kufikiria wangeweza kuyapata au kuishi.

Akizungumza na Jackie Matubia katika mahojiano ya hivi karibuni, Mungai Eve alifunguka kwa mara ya kwanza kuhusu jinsi alivyokutana na mpenzi wake, Trevor, mwaka wa 2019 na jinsi walivyoanza kuwa wapenzi.


Kwa mujibu wa Mungai Eve, alikutana na Trevor wakati wa picha za modeli huko Thika, na jambo la kuchekesha ni kwamba tayari alikuwa amemwona – na akiwa na shauku kubwa, aliishia kumnong'oneza rafiki wa Mungai Eve (Bella) akisema;


Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv