#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Taasisi ya CARE HOME FOR THE CHILDREN inapenda kuwatakia Wakristo wote popote walipo Kheri na Furaha ya Sikukuu ya Pasaka.

Katika kumbukizi hii ya kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo, taasisi inapenda kutumia fursa hii kuwakumbusha wafanyakazi wake, wahudumu wa kujitolea (volunteers), pamoja na jumuiya nzima ya familia hii, kwamba ufufuko huu unapaswa kwenda mbali zaidi ya kuviringishwa kwa jiwe zito lililowekwa mbele ya kaburi la Mwana wa Mungu.



Nguvu iliyoweza kuvingirisha jiwe lile inapaswa kuingia ndani yetu, ikaviringisha mioyo yetu iliyo migumu, na kutufanya kuwa viumbe wapya—waliojaa upendo, kujali, na kutenda sawasawa na mapenzi ya Yeye aliyetuumba.


Kama tulivyoendelea kusisitiza mara kwa mara, CARE HOME FOR THE CHILDREN ni taasisi isiyofungamana na dini wala upande wowote linapokuja suala la kusaidia watoto wenye uhitaji na kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii tunayoishi. Huo ndio msimamo wetu—leo, kesho, na hata milele.


Ndugu wanafamilia, kwa maneno haya machache, taasisi inapenda kuwatakia sherehe njema za Sikukuu hii. Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, aendelee kuwalinda na kuwabariki siku hii muhimu na katika maisha yenu yote.


Imeandaliwa na:

Edward Julius Ager (Mzalendo)

~ Volunteer ~

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv