#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

''Usi kimbie Majukumu. kwani funzo lolote unaloliepuka leo kujifunza, litajirudia siku na muda wowote mpaka ulielewe.'' Gabo zigamba

Msanii wa sanaa ya maigizo nchini Tanzania, Salim Ahmed maarufu kama Gabo Zigamba, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu maisha na majukumu kupitia ukurasa wake wa Facebook, akitoa wito kwa wasanii wenzake na jamii kwa ujumla kuwa na subira na kukabiliana na changamoto mbalimbali wanazozikumbana nazo. 



 Katika siku za hivi karibuni, Zigamba amechapisha ujumbe kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema: "Usi kimbie Majukumu. kwani funzo lolote unaloliepuka leo kujifunza, litajirudia siku na muda wowote mpaka ulielewe."  Ujumbe huo umekuja wakati msanii huyo anapojitosa katika kazi mbalimbali za kukuza tasnia ya filamu nchini, akiwa na dhamira ya kufanya kazi kwa weledi na kuwatia moyo wengine.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv