Vanesa Mdee utawauwa waonee huruma kidogo jamani

Huu ndio muonekano mpya wa Msanii wa Bongo flaver Vanesa Mdee kwenye mtandao amepost picha hizi zikionyesha alivuo kwa sasa mara nyingi wanawake wengi hubadilika muonekano wao baaada ya kupata mtoto lakini imekuwa tofauti kwa Vanesa ameweza kumaintain muonekano wake wa kisanii na mwili wake kwa ujumla hongera zake 

Kwanamna ya pekee Vanesa amekuwa mfano kwa wanawake wengi katika kutunza muonekano wao hasa pale wanapokuwa 'mama' 


 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv