"Ninaamini Mungu ameweka nguvu maalumu mahali hapa kwa wakati huu. Huwezi kufika na ugonjwa wako na uondoke naouponyaji upo hapa''
.
Mungu wa Christ Mandate hataruhusu adui awe na furaha juu ya mateso yako. Ukiingia katika mlango wa Christ Mandate Church ukiwa na matatizo basi unatoka ukiwa na uponyaji wa Mungu juu yako.
Post a Comment