#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Nani ni Rafiki wa Kweli - Paul Joseph Alagwa


Unaweza kujiuliza rafiki wa kweli ni yupi kati ya marafiki ulionao kwa sasa ila ukweli ni kwamba kuna watu unazani ni marafiki lakini sio kweli kwakua hao sio marafiki zako bali ni watu wenye mipango yao ila imetokea tuu ukakutana nao au ukawa nao karibu kwenye maisha,

Naandika haya huku nikikumbuka pia wat niliokuwa nao karibu kwenye maisha na kufikiri ni marafiki zangu lakini wapi walikuwa watu niliokutana nao na wakawa karibu na mimi kwa kipindi flani cha maisha wengine wameacha kumbukumbu nzuri na wengine mbaya.

Rafiki wa kweli utamtumjuaje.

1. Hukwambia ukweli bila kuficha kitu, Moja ya vitu vitakavyokufanya umjue rafiki wa kweli ni pamoja na kukwambia ukweli haijalishi kama uweli huo utakuumiza lakini utakusaidia uwe bora zaidi kwenye maisha haya.

2. Hawatatui matatizo yako bali husimama na wewe pale unapowaitaji, Rafiki wa kweli ni mtu ambae ataweza kusimama na wewe kipindi unauhitaji lakini sio kutatua matatizo yako na hili imebidi nieleze kiundani maan awatu wengi huzani kuwa rafiki ni mtu anaekupatia pesa pale unapohitaji pesa sio kweli maana pesa huisha na matatizo hupita lakini rafiki anaweza kukuongoza ukapita katika hali ya uitaji hasa ukaribu na mtu kipindi unahitaji utu na sio pesa, Mtu huyu anakuwezesha kuwa bora na kukujenga ili uweze kukua na kusimama mwenyewe haijalishi ni kwa kipindi gani hata kama itachukua miaka lakini taratibu unakuwa na kubadilika

 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv