Nimeupokea kwa unyenyekevu mkubwa uteuzi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa DC Arumeru.
Kwa hatua hiyo, nimeomba ofisi yangu iliyopo Brussels nchini Ubelgiji kukatisha mkataba wangu wa Katibu Mkuu WPL, na nimerejea nchini na kuanza kazi
picha ya pamoja Team #TukutaneSite #ArumeruKimataifa
DC Neema Lugangira
DAS Joseph Mabiki
DED Zainabu Makwinya (Meru DC)
DED Suleiman Msumi (Arusha DC)
Wilaya ya Arumeru, tupo site. Karibuni.
Wilaya ya Arumeru, tupo site. Karibuni.

Post a Comment