Akizungumza katika zoezi la kuwakabidhi jamii ya wamasai Mh; Neema Lugangira mkuu wa wilaya ya Arumeru amesema kuwa haya ni matokeo ya Utendaji kazi wa Raisi wa jamuuhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu katika kuwajali wananchi na kuhakikisha wanaishi kwa amani.
''Nimetoa salaam za Mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe CPA Amos Makalla katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya makabidhiano ya kurejeshwa kwa Jamii ya Wamaasai jumla ya ekari 23 katika eneo la Elerai kutoka Burka. Hatimae mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka 10 umetatuliwa'' alisema Mh Neema Lugangira
Post a Comment