#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

The Best Tanzania Media Consultation

Usa River Media Consultation ni moja ya kampuni inayoongoza kwa ushauri, muongozo na utendaji bora katika nyanja ya Media kwa nchini Tanzania ikiwa na ofisi katika jiji la Dar es salam, Ikijihusisha zaidi na kusaidia jamii au taasisi zinazo anza kuingia au zilio tayari katika secta ya habari na mawasiliano.

Dira yetu ni kukufanya na kukuwezesha kupata matokea bora zaidi katika kazi za uzalishaji wa maudhui ya picha na video.

Kuna mashirika mengi na taasisi hapa Tanzania sinazo kwama katika kufanikisha kupata matokeo bora kwenye upande wa media hivyo tunakupa suluhisho la tatizo hili,

Kukuza na kujenga uwezo, Kwa taasisi ambazo tayari zina media department tupo tayari kuwapatia mafunzo wafanyakazi wa idara husika kwanzia namna ya kupata vifaa bora na vyenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi kama vile Kamera, Komputer na printer 



Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv