Nilivunja moyo wako ila kuna mwanzo wa kila kitu.
Nilijua umejisikia vibaya sana kwa yaliyotokea na hizi kumbukumbu ni kama zamani sana kufikiri wewe ni kila kitu kwangu.
Unakumbuka tulikuwa tunaonge usiku kucha imekuwa rahisi kwetu rangi ya kinyonya.
Namengi yakusema lakini ni kama rangi ya kinyonga imezunguka moyo wangu ni jana tuu ulikuwa wangu ila Leo sijui umekuwaje ni kama rangi ya kinyinga.
Ila vizuri nimekuona tena sitaki kusema kwaheri ila ni maisha nimepitia na pia natakiwa niendelee na safari ya maisha yangu.
Tulikuwa pamoja kwenye sida na raha maelewano hayakuwepo nikama mara ya mwisho sitakuona tena lakini sijawai kukwambia nilivyojisikia maana inawezekana hisia zangu hauzijali hazina maana tena kwako.
Kumbuka tulivyokuwa tunaongea usiku mzima imekuwaje ni rahisi kwetu kama rangi ya kinyonga ulikuwa wangu jana tuu ila Leo sikujui tena

Post a Comment