Na Paul Joseph Alagwa
Kila mtu anamaoni yake kuhusu mambo ya ushoga lakini hii sasa inapitiliza kwa upande wa kanisa katoliki, Watu wanatoa maoni yao ila ukiyaangalia kiundani ni kama yanalazimisha kitu ambacho hakipo katika kile alichokisema Papa kuhusu mambo ya baraka kwa wanaoitaji baraka husika.

Wakosoaji wengi kwanza wanaonekana hawajaelewa kilicho semwa na Papa. Unapaswa uelewe kuwa kila binadamu anahitaji baraka kama alivyo sema papa lakini hakuna mtu atakataliwa baraka au kubarikiwa kwenye maisha yake eti kwasababu ya jinsia yake hivyo inamaanisha kila mtu atabarikiwa haijalishi msimamo wake katika mambo ya jinsia kama ni shoga hilo ni juu yake lakini pale atakapo hitaji baraka hawezi kunyimwa kisha ushoga ila imewekwa wazi kuwa sio kuwa kanisa katoliki lina bariki vitendo vya kishoga bali mhusika kama anajihusisha na vitendo hivyo anaweza kupata baraka kwenye mambo yake yote ila sio kuhalalisha au kubariki vitendo hivyo lakini wakosoaji wengi wanaonekana kutokuelewa hili.
Post a Comment