ANGALIA SHEIKH AKIWA KWENYE MADHABAHU KANISANI MIRERANI
Usa River Media0
Sheikh amefika kwenye kituo cha maombi na maombezi mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara na kuzungumza na waumini na wachungaji waliokuwa kwenye mkutano uliofanyika Kata ya Endiamtu.
Post a Comment