Jiunge nasi tarehe 31 Desemba kuanzia saa 1 jioni hadi alfajiri kwa usiku wa mabadiliko! Shuhudia uponyaji, miujiza, unabii wa mwaka 2025, ukombozi, na wokovu.
Kutakuwa na huduma yenye nguvu kutoka kwa waimbaji mbalimbali wa injili, ni usiku wa kukumbukwa, ni mshike mshike!
Usikose—njoo tukaribishe mwaka 2025 kwa ushindi!
Usiku wa Kuvuka hadi Kuchukua 2025 huko Bunju B
Usa River Media
0
Tags
Gospel News

Post a Comment