Wananchii wa Dodoma wanaotumia usafiri wa SGR Train wanufaika na Faima Shuttle Bus Service
Usa River Media0
Lengo la huduma: Kuwachukua abiria waliofikia Stesen Kuu ya Samia Suluhu Hassan Dodoma na kuwapeleka kwenye viunga mbalimbali vya jiji la Dodoma, na pia kuwaleta walio nje wanaotaka kuingia kwenye treni ya SGR
Post a Comment