HomeHabari Kaskazini Wheelie Boys imetimiza leo miaka 9 Usa River Media 0 Hii ni heshima kubwa sana kwa kila Rider anayechafua hewa na moshi wa tairi mitaa ya Chuga na Kili. Hatubahatishi. Chalii angu, kama unajua unai-rep Kaskazini kwa dhati, gonga LIKE ya nguvu na uweke bendera yetu hapo chini kwenye comments.Tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma! Kazi iendelee! You Might Like View all
Post a Comment