#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu amezungumza na Watumishi wa Ajira Mpya 2026 wa kada ya Elimu katika ukumbi wa mikutano wa Shule ya Msingi Ganako.

 


Katika kikao hicho, amewakaribisha watumishi hao na kuwapongeza kwa kuaminiwa kujiunga na utumishi wa umma, huku akiwataka kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na kuwajibika kwa maslahi ya wananchi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili ya kazi, kufuata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma pamoja na kushirikiana na jamii ili kuleta maendeleo katika sekta ya elimu wilayani humo.
Pia amewataka kutumia taaluma zao kuboresha kiwango cha elimu na kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora ya kujifunzia.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv