Nafasi Idadi ya Watu Maelezo mafupi
1. Mhariri Mkuu (Editor-in-Chief)
1 Kuongoza timu ya uhariri na kuhakikisha ubora wa habari
2. Waandishi wa Habari (News Reporters)
4 Kuripoti habari za ndani na nje ya nchi 3. Watayarishaji wa Maudhui ya Dijitali (Digital Content Producers)
3 Kutengeneza video, podcast, na maudhui kwa mitandao ya kijamii
4. Wapiga Picha na Kuhariri Video (Photographers & Video Editors)
2 Kuchukua na kuhariri picha na video za kitaalamu
5. Watangazaji / Watayarishaji wa Vipindi vya Redio (Radio Presenters / Producers)
3 Kuendesha vipindi vya moja kwa moja kwenye Usa River Radio Online
6. Wasimamizi wa Mitandao ya Kijamii (Social Media Managers)
Jinsi ya Kutuma Maombi:
1. Andaa Barua ya Maombi (Application Letter) ikionyesha nafasi unayoiomba, pamoja na Curriculum Vitae (CV) yako.
2. Hakikisha umejumuisha nakala za vyeti vyako vya kitaalamu (ikiwa unazo) na pia barua za kumbukumbu (reference letters) kutoka kwa waajiri wako wa awali (ikiwa uliwahi kuajiriwa).
3. Tuma maombi yako kwa njia ya barua pepe kwa anuani: usarivermedia@gmail.com au wasilisha kwa mkono ofisi za Usa River Media zilizopo Usa River, Arusha (karibu na kituo cha Usa River).
Tarehe ya Mwisho Kupokea Maombi: Aprili 30, 2026
*Usikose nafasi hii ya kuwa sehemu ya timu inayolenga kubadilisha sekta ya habari nchini Tanzania. Jitokeze uwe miongoni mwa wachaguliwa! * Usa River Media – Kwa Habari, Uhalisia, na Ustawi wa Jamii!

Post a Comment