Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Ndg, Juma Hokororo ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa Kutoa Fedha Jumla ya Shilingi milioni 163 kwajili ya Ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya Msingi Ganako.
Milioni 163 zatumika ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu shule ya Ganako Karatu
Usa River Media
0
Post a Comment