#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Top News

Unajua mtama unaweza kupunguza kasi ya uzee na magonjwa?

Mamilioni ya watu duniani hupoteza maisha kwa sababu ya magonjwa ya moyo, saratani na uzee. Kwa ugonjwa wa saratani pekee, Shirika la afya duniani (WHO) linakadiria kuwa kufikia mwaka 2030 utapoteza maisha ya watu zaidi ya 1.1milioni barani Afrika kama hautadhibitiwa.

Lakini sasa huenda idadi ya vifo hivyo na vifo vitokanavyo na magonjwa ya moyo na uzee ikapungua kwa matumizi ya mtama hasa wa kahawia. Kituo cha Utafiti wa kilimo, TARI-Ilonga, nchini Tanzania kimegundua mbegu za mtama 'inayoweza kupunguza magonjwa kama ya saratani, kisukari, magonjwa ya moyo na kupunguza kasi ya uzee'. Mwandishi wetu Yusuph Mazimu ametuandalia taarifa ifuatayo.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv