#-----------Start surfernetwork.com--------------- # Ads.txt last updated on:  2026/06/10 13:26:00.23423 by surfernetwork.com MANAGERDOMAIN=surfernetwork.com CONTACT=support@surfernetwork.com # SurferNETWORK surfernetwork.com, 204, DIRECT # Adswizz adswizz.com, 724, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 #Azerion targetspot.com, 455, RESELLER, feb28ed826dcf532 improvedigital.com, 2734, RESELLER adswizz.com, 172, RESELLER, 52ded3ee71b94c84 appnexus.com, 7265, RESELLER, f5ab79cb980f11d1 tritondigital.com, 44733, RESELLER, 19b4454d0b87b58b rubiconproject.com, 9753, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #US rubiconproject.com, 16418, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #EMEA # DAX thisisdax.com, 5460, RESELLER thisisdax.com, 5461, RESELLER # katz Katzdigital.com, 318, RESELLER Katzdigital.com, 80, RESELLER # Magnite rubiconproject.com, 8441, RESELLER, 0bfd66d529a55807 #-----------End surfernetwork.com-----------------

Je Wajua Kilichojiri Gaza?


Je Wajua Kilichojiri Gaza?
Uhasama wa sasa katika Mashariki ya Kati ulichochewa na mivutano ya zamani na mipya
Nikurudishe nyuma kidogo mambo yalivyokuwa maana nitakuwa nikikujuza kila kitu kilivyokua mpaka kufikia hali ya sasa 

SASA TUANZIE HAPA...

Shinikizo linaongezeka kwa Israel na watawala wapiganaji wa Gaza Hamas kukomesha ghasia mbaya zaidi kuwahi kutokea katika eneo hilo katika miaka ya hivi karibuni.

Huku mapigano kati ya Wapalestina na Waisraeli yakiongezeka na kuwa wiki moja ya mapigano na mashambulizi ya anga ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 200, juhudi za kidiplomasia za kimataifa kukomesha umwagaji damu zimeongezeka.

Mgogoro huo unaweza kufuatiliwa hadi mwanzoni mwa karne ya 20, wakati maelfu ya Wayahudi, wengi wao wakitoroka chuki dhidi ya Wayahudi huko Ulaya, walihamia eneo la Mashariki ya Kati ili kuanzisha taifa la Kiyahudi katika vuguvugu linaloitwa Uzayuni.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Mobile Logo Settings

Usa River Tv