Usa River Media inatangaza nafasi za kazi kwa waandishi wa habari wenye sifa zifuatazo
1. Awe anajua na amesomea uandishi wa habari kwenye chuo kinachotambulika
2. Awe na umria kuanzi maiak 18 hadi 30
3. Awe anajua kutumia kamera na kuediti video
4. Awe mchapakazi
5. Awe anajua kutangaza na kuripoti matukio mbalimbali
Tuma Cv na barua ya maombi pamoja na mfano wa kazi uliyofanya siku za karibu kupitia email ya usarivermedia@gmail.com
Bonyeza Link kwa WhatApp

Post a Comment